Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe

SHULE YA SEKONDARI MINAKI

Mkuu wa Shule
Mwl. Seni Mahega

Mkuu wa Shule

Minaki Sekondari

Makamu
Mwl. Beda Urassa

Makamu

Minaki Sekondari

Ujumbe wa Mkuu wa shule
Ni heshima kubwa kuwakaribisha kwenye tovuti rasmi ya shule yetu. Nina uhakika kuwa maudhui au taarifa zilizowekwa hapa ni za kuelimisha,  kuvutia na zinazoendana na matarajio yako kuhusu shule yetu pendwa, Minaki sekondari. Shule ya sekondari minaki inatoa elimu bora ya sekondari ya juu (advanced level secondary education) katika michepuo ya PCM, PCB, PGM,CBG, EGM, HGE na HKL. Shule ilianzishwa mwaka 1925 na hadi sasa haijapoteza ubora wa elimu inayotolewa.