Ni heshima kubwa kuwakaribisha kwenye tovuti rasmi ya shule yetu. Nina uhakika kuwa maudhui au taarifa zilizowekwa hapa ni za kuelimisha, kuvutia na zinazoendana na matarajio yako kuhusu shule yetu pendwa, Minaki sekondari.
Shule ya sekondari minaki inatoa elimu bora ya sekondari ya juu (advanced level secondary education) katika michepuo ya PCM, PCB, PGM,CBG, EGM, HGE na HKL. Shule ilianzishwa mwaka 1925 na hadi sasa haijapoteza ubora wa elimu inayotolewa.